Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndg Abdullghafar Idirissa Juma leo akamilisha ahadi yake aliyoitoa alivyofanya ziara yake ya ukaguzi wa uhai wa chama mkoa wa magharibi.
Abdullghafar alitoa ahadi hiyo Mara baada ya kufika skuli ya *KIJICHI* wilaya ya Mfenesini akipoombwa kwenye risala ya walimu wa skuli hiyo.
Kaimu Naibu aliahidi Mifuko mitatu ya saruji taizi box tano na vyo flash mbili za vyoo vitu ambavyo ndivyo alivyo ombwa ili kukamilisha ujezi wa vyoo vya wanafuzi wa shule hiyo ya KIJICHI
vifaa hivyo vyote vimekabidhiwa leo na katibu wa umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Magharib ndugu Haji machano alieongozana na Katibu UVCCM wilaya ya Mfenesini ndugu Ashura haji kwa Pamoja walifanya hivyo kwa Niaba ya Kaimu Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar.
No comments:
Post a Comment