Tuesday, July 25, 2017

UVCCM SHINYANGA MJINI YAENDELEA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA JUMUIYA VIZURI

UVCCM SHINYANGA MJINI TUNAENDELEA NA ZOEZI LA KUFANIKISHA UCHAGUZI KATA MBALIMBALI , KWA HAKIKA VIJANA WANAOCHAGULIWA NI VIJANA WAZURI NA WENYE UWEZO

ASANTE SAANA WANAUVCCM KATA YA KAMBARAGE KWA KUCHAGUA VIONGOZI WAZURI,

BY COMRADE Egobano

No comments:

Post a Comment