SIMIYU MPO!!!!!!!
SASA KIINGILIO KWA MASHABIKI KATIKA MASHINDANO YA BAISKELI NI BURE KABISAAAAA!
TAREHE 06/08/2017 KUTAKUWA MASHINDANO YA BAISKELI MJINI BARIADI MKOANI SIMIYU AMBAPO PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU ZAIDI YA SHILINGI MILIONI NANE ZITASHINDANIWA.
MGENI RASMI ATAKUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. TULIA ACKSON.
TAARIFA KAMILI KUHUSU MAHALI PA KUPATA FOMU ZA USAJILI KWA AJILI YA USHIRIKI, ZAWADI KWA WASHINDI NA MASUALA MENGINE ZINAPATIKANA KATIKA TANGAZO HILI HAPA CHINI.
No comments:
Post a Comment