Mhe Mbunge wa viti maalumu LUCY MAYENGA amekabidhi Gari ya Kubebea Wagonjwa (ambulance) kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga mjini Mhe JOSEPHINE MATIRO.
Pamoja na Gari Hilo, Mhe MAYENGA ametoa fedha taslimu sh milioni 17, kati ya hizo mil 15 ni kwa ajili ya mchango wa ujenzi wa chumba cha Upasuaji na mil 2 kwa ajili ya kifaa cha maabara kituoni hapo.
Hakika wanashinyanga wamefurahi saana maana kupitia Ambulance hiyo , tutaokoa maisha ya watu wengi saana , hususani wamama wajawazito.
Wanashinyanga wanakushukuru sana Mhe LUCY MAYENGA SHINYANGA IKO NA WEWE BEGA KWA BEGA.
No comments:
Post a Comment