MAJALIWA APOKEA MISAADA ZAIDI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MJINI DODOMA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa Shilingi milioni 5 kutoka kwa
mfanyabaiashara wa mjini Dodoma, Thaker Singh Ofisini kwake mjini Dodoma
Oktoba 4, 2016 kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera. (picha na ofisi yaWaziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment