Tuesday, October 4, 2016

MBUNGE WA MKURANGA AUNGANA NA WANANCHI KUFYATUA TOFALI ZA ZAHANATI YA TUNDU, MKURANGA

tof1
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akishiriki katika ufyatuaji wa tofali kwa ajili ya zahanati mpya itakayojengwa katika kijiji cha Tundu jana ikiwa ni sehemu ya ziara yake kukagua maendeleo wilaya hiyo.
tof2
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa amebeba tofali alilofyatua kwa mkono wake akipeleka sehemu ya kuhifadhi ili likaushwe na jua katika kijiji cha Tundu panapotarajiwa kujengwa Zahanati ya Tundu jana katika ziara yake kukagua maendeleo ya Wilaya hiyo.
tof3
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kiiiji cha Maamudi Mpela leo katika ziara yake kutembelea wananchi pamoja na kuwashukuru  pamoja na kuwasikiliza kero zao jana mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment