DC DODOMA MJINI AMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUFANYA USAFI
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe Christina Mndeme akifanya usafi pembeni yake ni Mzee Lusinde
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe Christina Mndeme, ameadhimisha kumbukizi ya miaka 17 ya kifo cha Mwasisi wa
Taifa na Rais wa Kwanza wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere aliyefariki dunia Octoba 14, 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu
Thomas huko Uingereza.
Mndeme amefanya maadhimisho hayo kwa kufanya usafi wilayani mwake na kujumuika
na wazee maarufu na viongozi na wananchi wa mji wa Dodo.
No comments:
Post a Comment