
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli
akimkabidhi mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga Ndugu Sixtus Mapunda
kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Mbinga mjini.

Dk
Magufuli akishuka kwenye Kivuko cha Mto Ruhuhu akitokea Wilaya ya Ludewa
Mkoani Njombe kwenda Mbinga mkoani Ruvuma kuendelea na kampeni za
urais ubunge na udiwani. Dk Magufuli ameahidi kujenga daraja la mto huo.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli akizungumza jambo na mkazi wa mji wa Peramiho ambaye ni
mlemavu wa ngozi,jioni ya jana mara baada ya kumaliza kuwahutubia
wananchi wa mji huo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Na Denis Mkakala
Baada ya mbilinge mbilinge za mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya mtaa kwa mtaa kwaajiri ya kuomba kura kwa vingozi wanaohitaji lidhaa ya kuongoza nchi,majimbo na kata hatimaye kila mmoja amevuna alichopanda.
Kwaupande wa wagombea urais waliokuwa wa vyama mbalimbali nao mpaka sasa mgombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi John pombe magufuri aliyekuwa na msemo wa Hapa Kazi tuu ndio mshindi wa urais katika jamhuri ya muungano wa tanzania kwa asilimia 58 na kuwazidi wagombea wote huku anaye mfuatia Edwald Lowasa akipata asilimia 39 tuu.
Kutokana na ushindi huo watanzania wote wanatarajiwa kupumzika kesho kazi zao na baada ya kuapishwa kuanza kuutendea kazi msemo wa hapa kazi tuu .
Swali kwa kidato cha nne na walimu pamoja na wasimamizi nalirudisha kwako nao wapo off?
No comments:
Post a Comment