Wednesday, November 4, 2015

HATIMAYE MY BIG BOSS NDANI YA BONGO AKISURI RAISIIIIIII!!!

Nipo Dar es salaam lakini naendelea kushurutishwa na joto ambalo wenyeji wanasema wamezoea wanaona kawaida tu.
Mie Mnyiramba wa Singida na makabila mengine tupo Dar es salaam kwa kazi moja tu ya kushuhudia Msukuma kutoka Chato-Geita akiapishwa hapo kesho kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya Tano.
Dkt John Pombe Joseph Magufuli baada ya kuapishwa hapo kesho atahudumu ikulu kwa kipindi cha miaka mitano hii ni kwa mujibu wa katiba ya Mwaka 1977.
Wakati Mwema
Mathias Canal
0756413465
Dar es salaam Kuzizima kwa saa chache hapo kesho
Paul Mrema Dar izizime kwa sababu gan??kila mtu na yake hiyo kesho
Like · Reply · 1 · 5 hrs
Lovely Siz Lucy
Lovely Siz Lucy Waoow..!Maghufuli priiiii....mpk Ikulu baba, I wsh all the bext may GOD bles him.
Like · Reply · 1 · 5 hrs
Uster Kasote
Lilian Edward
Denis Mkakala

Write a comment...

No comments:

Post a Comment