Wednesday, November 4, 2015

Kesi ya kupinga matokeo iringa mjini Jarada namba 04



katibu wa ccm iringa mjini Elisha Mwampashi alipokuwa akizungumza na wakazi wa mshindo iringa mjini wakati wa kumuombea kura mwakalebela.

Elisha mwampashi kulia akiwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la iringa mjini Fredrick mwakalebela


Na Denis Mkakala

Katibu wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa elisha mwampashi amesema chama cha mapinduzi mkoa kimekamilisha taratibu za kufungua kesi ya kupinga matokeo katika jimbo la iringa mjini ambapo kesi hiyo ni jarada namba 04.
pia mwampashi amesema watuhumiwa katika kesi hiyo ni mshindi wa Peter Msigwa na msimaminzi wa uchauzi wa halmashauri hiyo bwana richard sawa ambao ni watuhumiwa katika kesi hiyo na kilana kila mtuhumiwa akigharimu milioni 5 ya kufungulia kesi.

 vile vile amesema aliyefungua kesi hiyo ni aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha mapinduzi fredrick mwakalebela akishirikiana na ccm makaomakuu ili kufuatwa kwa haki ambazozimepindishwa katika uchaguzi huo.

Mwisho amewataka wananchi kuamini kuwakesi hiyo itawahikualizika kwani mpaka mpaka kufikia mwezi ujao itakuwaimeanzakusikilizwa na kuacha kutishika na kupokewa kwa vyeti kwa mshindi na kuapishwa kwake kwani hiyo itabaki kuwa historia "alisema mwampashi"

Pamoja na kufungua kesi hiyo chama kimejiandaa kufungua kesi ya madiwani 14 ambazozimechukuliwa na upinzani na kesi hizo zinataraji kufunguliwa ndani ya siku chache zijazo.

No comments:

Post a Comment