Hapa ni sehemu ya wananchi tuu waliofika kwenye mkutano huo. |
Reonsi Matho akiwa katika zoezi la utoaji zawadi iliyoandaliwa na bavicha manispaa kwaajiri ya mbunge zawadi ya Dialy |
Eneo walilokaa vijana bavicha na bango lao. |
kutokana na mkutano uliofanyika hapo jana katika uwanja wa
mwembetogwa iringa mjini mengi yamezuka mtaani na ndani ya chama hicho kwa kuwagawa wanachama wa chama hicho kutambua na kujifunza nini maana ya democrasia hii ni mara baada ya mmoja wa viongozi wa chama
hicho kuwa alitangazania ya kugombea jimbo hili la Iringa mjini.
Bw Reonce Matho ametuhumiwa na kuhisiwa kuwa ndio chanzo cha mimomonyoko katika chama hicho,Ikiwa ni mara baada ya
kutangaza nia huku baadhi ya viongozi wakitaka kiongozi huyo kutokuwa na mpinzani ndani ya cha ikiwa Joseph mbilinyi wa mbeya anampinzani angali katika mkutano huo alisistiza kukosekana kwa kura ya maoni katika jmbo hili ikiwa kwake tarehe 24 mwezi huu inafanika kura ya maoni
.
Katika mkutano huo mwenyekiti wa chadema wilaya ya Iringa ambaye anasifa ya kumtukana na kukashifu kamanda wa polis pamoja na katibu wa ccm kila asimamapo jukwaaji hapo jana alitoa kauli ya kutotishika na jeshi la polisi ikiwa na kwenda kuweka vurugu katika nyumba ya kamanda wa polis mkoa wa Iirnga ,huku akisistizakuwa kura ya maoni haitakuwapo mwaka huu hivyo Mbunge aliyeopo anapita bila kupingwa. Ingawa hii leo amekiri na kusema kuwa lugha aliyotumia ni lugha ya jukwaani hivyo kura ya maoni ipo palepale siku ya ijumaa ya tarehe 25 mwezi huu.
Kwaupande wake Mtangazania ya kuomba lidhaa ya kuongoza wakazi wa Iringa mjini Mato amesema kuwa suara la kuchukua fomu lipokisheria na hivyo yupotayari kupambana na mbunge huyo ambaye ameonekana kujaza watu wengi katika mikutano yake.
"Suala la kutangazania lipokisheria ndiomaana Chadema makaomakuu wakaongeza siku za kuchukua fomu kwenye majimbo na kata zilizokuwa zikiongozwa na chadema ilikutoa nafasi ya kuchua fomu sasa nashangaa kila kiongozi analaumu mim kuchukua fomu kwanini nafasi hizo zimetolewa alisema Mato"
No comments:
Post a Comment