Wednesday, April 27, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKIONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama  leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment