Friday, April 22, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN,AZUNGUMZA NA WABUNIFU MBALIMBALI PAMOJA NA WADAU WAKUBWA WA TASNIA YA FILAMU KATIKA JIJI LA LOS ANGELES

     

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao.

No comments:

Post a Comment