Friday, April 22, 2022

RAIS SAMIA ATEMBELEA STUDIO ZA PARAMOUNT PICTURES JIJINI LOS ANGELES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitembelea kuangalia kazi za utayarishaji wa filamu mbalimbali katika Studio za Paramount Pictures Jijini Los Angeles nchini Marekani kabla ya uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour 

No comments:

Post a Comment