Monday, March 28, 2022

Rais Samia Suluhu akutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment