Monday, November 29, 2021

RAIS MUSEVEN AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa ndege wa Chato Mkoani Geita, baada ya Rais Museven kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya Kiserikali hapa Nchini.

No comments:

Post a Comment