Thursday, August 19, 2021

HUMPHREY POLEPOLE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE CHA LAAC


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (LAAC), Humphrey Polepole akiongoza kikao cha kamati hiyo bungeni Dodoma leo Agosti 19, 2021.

Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye kikao hicho.



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment