Tuesday, June 29, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA-IMF ABEBE AEMRO SELASSIE IKULU JIJINI DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF-) Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021.

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika (IMF) Abebe Aemro Selassie akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment