Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Melkior Ndadaye Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhudhuria kumbukizi ya Mwaka mmoja ya aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza iliyofanyika leo Juni 08,2021 Jijini Gitega Burundi. . Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akisalimiana na Viongozi Mbalimbali wa Serikali ya Burundi na Tanzania alipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Melkior Ndadaye Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhudhuria kumbukizi ya Mwaka mmoja ya aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza iliyofanyika leo Juni 08,2021 Jijini Gitega Burundi. . Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango, wakisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye katika Eneo la maalum lenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza Jijini Gitega Nchini Burundi wakati wa kumbukizi ya kutimia mwaka mmoja tokea kifo chake. iliyofanyika leo Juni 08,2021. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akitoa salama za Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipomuweakilisha kwenye kumbukizi ya kutimia mwaka mmoja ya aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza iliyofanyika leo Juni 08,2021 Jijini Gitega Nchini Burundi. wa pili ni Rais wa burundui Mhe. Evariste Ndayishimiye.
No comments:
Post a Comment