Saturday, April 10, 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. AMINA MOHAMMED MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Barua yenye Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta iliyowasilishwa kwake na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Kenya hapa nchini Mheshimiwa Dan Kazungu ambaye aliambatana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari mara baada ya kupokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta akizungumza na Wanahabari mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo pamoja na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment