Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo wa Zanzibar Mhe. Soud Hassan (aliyekaa wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. ,Riziki Shemdoe (aliyekaa wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Taasisi ya TanTrade, Ndg. Edwin Rutageruka wakiwa katika picha na wakurugezi wa Taasisi za Serikali waliohudhulia katika kongamano la biashara kati ya Taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini, Leo 05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar es Salaam katika Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020. (Picha na Eliud Rwechungura)
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo wa Zanzibar Mhe. Soud Hassan (aliyekaa wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. ,Riziki Shemdoe (aliyekaa wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Taasisi ya TanTrade, Ndg. Edwin Rutageruka wakiwa katika picha na wadau wa sekta ya viwanda nchini na wamiliki wa viwanda nchini waliohudhulia katika kongamano la biashara kati ya Taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini, Leo 05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar es Salaam katika Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020.
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo wa Zanzibar Mhe. Soud Hassan akifungua kongamano la biashara kati ya Taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini leo, 05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar es Salaam ambalo limelenga kutatua changamoto zinazowakabili wamiliki wa viwanda katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji wa bidhaa nchini katika Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini, Leo 05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar es Salaam ambalo limelenga kutatua changamoto zinazowakabili wamiliki wa viwanda katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji wa bidhaa nchini katika Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020.
Baadhi ya wadauwa sekta ya Viwanda nchini na washiriki wa kongamano la biashara kati ya taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini, leo 05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar es Salaam ambalo limelenga kutatua changamoto zinazowakabili wamiliki wa viwanda katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji wa bidhaa nchini katika Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020.
No comments:
Post a Comment