Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jesephat Kandege bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia), bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba.
No comments:
Post a Comment