Monday, February 3, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNGE, BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mnadhimu  mkuu wa kambi  rasmi ya upinzani bungeni, Ester Bulaya, kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Igunga,  Dkt. Dalaly  Kafumu kwenye jengo la utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020.  Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, ShallyRaymond.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Viti Maalum  kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni  Cesilia Pareso, Grace Kiwelu na Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia) na  Peter  Lijualika  wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment