Son Heung-Min akifurahia baada ya kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 71 kufuatia Steven Bergwijn kufunga la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur PICHA ZAIDI SOMA HAPA
No comments:
Post a Comment