Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng'ulwabuzu Ludigija akimpa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi leo Jumanne Februari 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe. Sarah Msafiri akiwa na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng'ulwabuzu Ludigija na viongozi wengine baada ya kufungua rasmi jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi leo JumanneFebruari 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuzindua rasmi jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo leo Jumanne Februari 11, 2020
No comments:
Post a Comment