Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Dar es salaam Zoo ya Kigamboni jijini Dar es salaam Bw. Salim Nassor Mselem kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlisha majani mnyama aina ya Pofu wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipotembelea Zoo hiyo iliyoko Kigamboni jijini Dar es salaam kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Dar es salaam Zoo ya Kigamboni jijini Dar es salaam Bw. Salim Nassor Mselem akimuangalia mnyama aina aliyezaliwa kwa kukutanisha Pundamilia na Farasi alipokwenda kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlisha majani mnyama wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipotembelea Dar es salaam Zoo ya Kigamboni jijini Dar es salaam kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlisha Simba nyama wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipotembelea Zoo hiyo iliyoko Kigamboni jijini Dar es salaam kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 20
No comments:
Post a Comment