Friday, February 28, 2020

MUONEKANO WA MSIKITI MPYA WA BAKWATA KINONDONI JIJINI DSM UJENZI UKIENDELEA AMBAPO HADI HIVI SASA UJENZI UMEFIKIA ASILIMIA 96%


Muonekano wa Msikiti ambao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) ametembelea na  kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti huo wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa  Februari 28, 2020

No comments:

Post a Comment