Saturday, February 22, 2020

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU CHAMPANDA, KAKA YAKE KATIBU MKUU WA TFF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Februari 22, 2020 ametoa pole kwa familia ya Mathew Champanda  nyumbani kwa marehemu eneo la Mwanga mjini Kigoma. Marehemu Champanda   ambaye ni kaka  mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa MiguuTanzania  (TFF), Kidao Wilfred (wa pili kulia ) alifriiki dunia  Februari 19, 2020 na anatarajiwa kuzikwa leo mjini Kigoma. Kulia ni ndugu wa marehemu, Patric Wilfred. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mathew Champanda ambaye ni kaka mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho   la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred (kushoto), nyumbani kwa marehemu  Mwanga mjini Kigoma, Februari 22, 2020. Champanda alifariki dunia Februari 19, 2020 na anatarajiwa kuzikwa leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment