Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 22, 2020 ameondoka mkoani Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku moja. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwaaga viongozi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja mkoani humo, Februari 22, 2020. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment