Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, wakati
akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa
Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
leo Januari 14, 2020 ameondoka nchini kwenda Msumbiji, ambako
atamwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa
Msumbiji Filipe Nyusi. Kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin
Mkapa, ambaye pia yupo katika msafara huo
No comments:
Post a Comment