Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mkono na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow katika hafla ya utiaji
saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya
uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo
kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16
.Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja
kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni
ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na
hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24,
2020.
Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya
utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga
ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick
ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya
asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia
utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga
ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick
ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya
asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akikidhiana mikataba na Rais wa
kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow iliyosainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla utiaji saini wa
mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa
Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa
kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 Ikulu
jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
No comments:
Post a Comment