Friday, January 24, 2020

MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA JUMUIYA ZAKE WA NGAZI YA MKOA NA WILAYA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020

Wanachama wa CCM wakimshangilia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020

No comments:

Post a Comment