Wednesday, January 22, 2020

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI KATIKA SHEREHE ZA MWAKA MPYA 2020 (DILPOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,
Waakilishi wa Mashirika ya kimataifa katika Sherehe za Mwaka mpya
2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika
Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa
nchini kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia Mabalozi hao katika
Sherehe za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry
Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment