Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu akitoa zawadi kwa mshindi wa kwanza Albert Dida kutoka shule ya msingi Libermann katika shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason/MMG.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu akitoa zawadi kwa mshindi wa kwanza Yvonne Lyaruu katika shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa Chuo cha Usafirishaji ambaye alikuwa Jaji Mkuu wa shindano la insha (Mchango wa Shirika la Ndege la Taifa Katika Uchumi wa Nchi) Bw. Abubakari Nuru akitoa neno wakati akisoma washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa Chuo cha Usafirishaji ambaye alikuwa Jaji Mkuu wa shindano la insha (Mchango wa Shirika la Ndege la Taifa Katika Uchumi wa Nchi) Bw. Abubakari Nuru akitoa neno wakati akisoma washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu.
Mshindi wa kwanza Albert Dida akiwasilisha mada yake.
Mshindi wa Pili Yvonne Lyaruu akiwasilisha mada yake.
Mshindi wa tatu Alpha Tito akiwasilisha mada yake.
Meza ya majaji wakifuatilia shindano hilo.
Wafanyakazi wa TCAA na wanafunzi wa shule mbali mbali za Dar es Salaam wakifuatilia shindano.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu (wa pili toka kushoto).
Mzazi akitoa shukrani mara baada ya kumalizika kwa shindano.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kutoka kulia ni Hazafa Amirali, Moureen Silayo, Alpha Tito, Yvonne Lyaruu na Albert Dida.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu (wa tatu toka kulia mstari wa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji na washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Mstali wa mbele) washindi hao ni (kutoka kulia) Hazafa Amirali, Moureen Silayo, Alpha Tito, Yvonne Lyaruu na Albert Dida.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu (wa tatu toka kulia mstari wa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji, Wazazi na washindi wa shindano la insha lililoandaliwa na TCAA kwa lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi na kuamsha hali ya kujifunza juu ya masuala mbali mbali ya usafiri wa anga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Bendera ikipandishwa ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Maandamano ya maadhimisho ya siku ya Anga Duniani.
No comments:
Post a Comment