Thursday, November 21, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHMA YA UDAKTARI WA FALSAFA WA CHUO KIKUU CHA DODOMA UDOM KATIKA MAHAFALI YA 10 YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA MKOANI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga ulipo chuoni hapo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa Kada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya kutunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa  katika Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati wa sherehe za Mahafali ya 10 yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Makamu wa Mkuu wa Chuo cha UDOM Profesa Fausine Bee kabla ya kuanza kwa sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kabla ya kuanza sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Wahitimu wengine wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakati wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Mmoja ya Wahitimu wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM akisoma kwa makini Wasifu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Sehemu ya Wahitimu wa kada mbalimbali wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakiwa wanasubiri kutunikiwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment