Jengo ambalo Rais Dkt John Pombe Magufuli amelikabidhi Jeshi la
Polisi kufanya Makao Mkuu yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November
22,2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia
95,hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Mhe. Kangi Lugola alipowasili Tayari kukabidhi kwa Jeshi la
Polisi jengo kwa jail ya Makao make yake jijini Dodoma Leo Ijumaa
November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa
asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na
Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi fungi za jengo kwa Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa
Polisi Simon Sirro wakati akikabidhi jengo hilo kuwa Makao makao Makuu
ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo
ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa
linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikilkiza Inspekta Jenerali wa
Polisi Simon Sirro alipokuwa akishukuru kwa kukabidhiwa jengo hilo
litakalokuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa
November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa
asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na
Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Mhe. Kangi Lugola akishukuru kwa kuwakabidhi jengo la Makao
makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22,
2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo
lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kukabidhi
jengo kwa adili ya Makao makao Makuu ya Jeshi la polisi jijini Dodoma
Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika
kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na
Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa wakandarasi wa
jengo ambalo amelikabidhi kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini
Dodoma Leo Ijumaa November 22,2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake
umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya
Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro pamoja
na viongozi waandamizi wa Kesho la polisi baada ya kukabidhi jengo hilo
ambalo litakuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo
Ijumaa November 22,2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na
Wizara ya Maji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamanda wa Polisi
wa Dodoma Giles Muroto baada ya kukabidhi jengo la Makao makao Makuu ya
Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo
lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi picha za jengo ambalo
amelitoa kuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma kwa Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi
Simon Sirro wakati wa sherehe fui ya uwekaji jiwe la Msingi mradi wa
Ujenzi wa Nyumba za Polisi eneo la Nzuguni leo Ijumaa Novemba 22, 2019
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment