MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI KAIRUKI KATIKA KIWANDA CHA KUTENGENEZA UNGA WA MHOGO-CSTC LINDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula (mwenye kofia) wakiangalia
moja ya mfuko wa unga wa muhogo uliotengenezwa na kiwanda hicho.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula (mwenye kofia) na Mkuu wa
Wilaya ya Lindi Mhe Shaibu Ndemanga (katikati) wakiwa katika picha ya
pamoja na uongozi na watumishi wa kiuwanda cha kutengeneza unga wa
muhogo kilichopo Lindi.
No comments:
Post a Comment