Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Usirikiano wa Afrika ya
Mashariki. Profesa Palamagamba Kabudi katika Mkutano wa TICAD 7
uliofanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pscifico Yokohama nchini Japan,
hivi karibuni. Mkutano huo umemalizika na wote wamerejea nyumbani.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment