Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Matamela Ramaphosa, wakati
alipowasili katika Mkoa wa Morogoro, akiwa kwenye ziara ya Kiserikali
nchini. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na wananchi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA),
Mazimbu Campus mjini Morogoro, kabla ya kumkaribisha Rais wa Afrika
Kusini, Cyril Matamela Ramaphosa kuzungumza. Agosti 16.2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akizungumza na wananchi katika Chuo Kikuu cha Kilimo
cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro, alipotembelea Kampasi
hiyo. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiwa amesimama katika moja ya picha ya wapigania
uhuru wa Afrika Kusini, kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA),
Mazimbu Campus mjini Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akizungumza na mwenyeji wake Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa, wakati akiwasili katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
(SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiwa kwenye picha ya pamoja, kwenye ofisi ya
Utawala, iliyotumika na Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo
Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini
Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akifafanuliwa jambo kwenye moja ya jengo la
Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha
Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiangalia moja ya kaburi la Wapigania Uhuru wa
Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu
Campus mjini Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiwa na mwenyeji wake, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
wakiangalia makaburi ya Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika kambi
ya Mazimbu mjini Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akipanda mti, wakati alipotembelea Kambi ya
iliyotumika na Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, iliyopo Mazimbu mjini
Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiweka shada la mauwa, katika mnara wa kumbukumbu
ya Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wakati alipotembelea Kambi ya
iliyotumika na Wapigania Uhuru hao, iliyopo Mazimbu mjini
Morogoro. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Afrika Kusini, Cyril
Matamela Ramaphosa, akiwa na mwenyeji wake, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
baada ya kutembelea Kambi ya Mazimbu, mkoani Morogoro, akiwa kwenye
ziara ya Kiserikali nchini. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment