Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax kwa maandalizi mazuri baada ya
kufunga mkutano huo wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti
18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunga rasmi mkutano
wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine
wakimpigia makofi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili
Agosti 18, 2019
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.
Stergomena Tax akitoa majumuisho kabla ya kufungwa rasmi kwa mkutano wa
39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Angola Mhe Joao Manuel Goncalves Lourenco baada ya kufunga rasmi mkutano
wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob
na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa baada ya
kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti
18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsidikiza Rais wa
Andry Nirina Rajoelina baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Comorro Mhe Azali Assoumani na mkewe Mama Assoumani baada ya kufunga
rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi
wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri
Mkuu wa Lesotho Mhe. Tom Thabane baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure baada ya kufunga
rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi
wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpatia zawadi Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure walipomaliza
mazungumzo yao baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
No comments:
Post a Comment