Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo
Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo
Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt.
Tshepo Motsepe-Ramaphosa kushoto akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli mara baada ya kupokea zawadi ya picha Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment