Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi akiongea na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao
Dkt. Jabiri Bakari (katikati) alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo Leo
Jijini Dodoma kujionea masuala mbalimbali ya Teknolijia ya Habari na
Mawasiliano
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya
Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akimueleza jambo Msemaji Mkuu wa
Serikali Dkt. Hassan Abbasi masuala mbalimbali yanayohusu Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano Serikalini alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo Leo
Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment