WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MISRI KWENYE ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana
na Waziri Mkuu ya Kiarabu Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly, wakati
akiwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu nchini
humo, Julai 8.2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza
na Waziri Mkuu ya Kiarabu Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly, baada ya
kuwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai
8.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment