BREKING NEWS:WAFANYAKAZI 7 WA AZAM MEDIA WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Wafanyakazi watano wa Azam Media ni
miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea
katikati ya Shelui na Igunga.
Wafanyakzi wengine wawili wapo mahututi
huku mmoja hali yake si mbaya Ajali hiyo imetokea wakiwa njiani kuelekea
Chato kwa ajili ya kwenda kuonesha matangaza ya moja kwa moja ya
uzinduzi wa hifadhi ya Burigi.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Ameen.
No comments:
Post a Comment