Saturday, July 20, 2019

Waziri Mkuu Atembelea Shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika jani la katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Anayetoa maelezo ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika katani  iliyokua imeanikwa, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Anayetoa maelezo ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anakagua marobota ya katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Kushoto ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wafanyakazi wa shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya pamoja na wananchi, wakati alipotembelea shamba hilo, wilayani Same Julai 19.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mshauri wa shamba wa shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, Ndekirwa Nyari pamoja, baada ya kutembelea shamba hilo, wilayani Same Julai 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments:

Post a Comment