WAZIRI MKUU APOKEA TRENI YA MIZIGO NA KUZINDUA SAFARI ZA TRENI ZA MIZIGO KATIKA RELI YA KASKAZINI
Wananchi wa Moshi, wakipokea treni ya mizigo kwa furaha kubwa, wakati ikiwasili tokea Tanga, Julai 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea
treni ya mizigo, iliyowasili tokea Tanga, kwenye uzinduzi wa treni hiyo
katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata
utepe kuzindua treni ya mizigo katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019.
Uzinduzi huo umefanyika katika stesheni ya reli Moshi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapungia
mikono wananchi waliyofika kushuhudia uzinduzi wa treni ya mizigo katika
reli ya Kaskazini uliyofanyika katika stesheni ya reli Moshi, Julai
20.2019.
Wananchi wa Moshi, wakishangilia kwa
furaha kubwa baada ya kupokea treni ya mizigo katika reli ya Kaskazini,
wakati ikiwasili tokea Tanga, Julai 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
No comments:
Post a Comment