RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MTAWALA WA SHARJAH

Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi
Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za rambirambi kwa
Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.
Ali Mohamed Shein kwa Mtawala wa Sharjah Sheikh Khalid bin Sultan
Mohammed Al Qasimi, kushoto hafla hiyo imefanyika katika makazi yake
Sharjah. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment