RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Kangi Lugora watatu kutoka kulia, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
IGP Simon Sirro, Wabunge pamoja na Viongozi mbalimbali akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Askari Polisi katika eneo la
Magogo mkoani wa Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini IGP Simon Sirro wakati akitoka kukagua moja ya nyumba za
makazi ya Askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Magogo mkoani Geita.
Makamishna kutoka Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi nchini wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa
sherehe za uzinduzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi katika eneo la
Magogo mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika sherehe za
uzinduzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la
Magogo mkoani Geita.
Bendi ya Jeshi la Polisi ikitumbuiza
katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la
Polisi katika eneo la Magogo mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Geita
mara baada ya kuhutubia katika uzinduzi wa nyumba hizo za makazi ya
Askari Polisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Geita
wakati akielekea kuzindua nyumba za Askari wa Jeshi la Polisi mkoani
humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Katoro na
Buseresere hawaonekani pichani wakati akielekea Geita mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bwanga
wakati akitokea Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment