NDEGE ILIYOBEBA MADINI YA DHAHABU YA TANZANIA YALIYOKAMATWA KENYA YAWASILI NCHINI



Ndege maalum ya Jeshi la
Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya ikiwasili katika
uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
kabla ya kukabidhiwa kwa Serikali ya Tanzania ambapo Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano
hayo Ikulu Dar es Salaam kutoka kwa Mjumbe Malalum wa Rais wa Kenya
Uhuru Kenyata.
No comments:
Post a Comment