Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akikabidhi Ofisi
kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
George Boniface Simbachawene katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene akimsindikiza
Mhe. January Makamba mara baada ya kukamilika kwa hafla ya makabidhiano
ya Ofisi katika Ofisi ndogo Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima.
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya
Ofisi: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe. George Boniface Simbachawene (kulia) Mhe. January Makamba na Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima.
No comments:
Post a Comment